Tuesday, October 18, 2016

TANZIA:MCHUNGAJI WA MTAA WA SIRARI AFARIKI

Mch:Tumaini Lugembe

Na.GODWIN PETER(ABG-ONLINETV)

Aliyekua Mchungaji wa Mtaa wa SIRARI uliopo Mara -Tarime TUMAINI LUGEMBE,amefariki dunia leo hii baaada ya kupata ajali ya kugongwa na gari pindi alipokua kwenye pikipiki kuelekea shule ya jirani kwa ajili ya kuendesha kipindi cha dini.

Abg -Onlinetv tunapenda kuwapa pole wafiwa wote kwa kipindi hiki kigumu na Mungu wa mbinguni awe mfariji wenu wa pekee kwa kipindi chote.


abg-Onlinetv

+255659570630

+255659445425

Email:abgonlinetv@gmail.com




No comments:

Post a Comment