Tuesday, July 5, 2016

ABG ONLINE TV - ndoto inayotimia.

ABG online tv inakujia kupitia mitandao ya kijamii. tayari kukuhabarisha na kukuelimisha.
Hapa utapata habari Mbalimbali kuhusu mikutani ya kidini, makongamano, matamasha ya muziki wa injili lakini bila kusahau utaweza kuwafahamu wanamuziki wa injili mbalimbali, kazi zao mpya na zile zilizoko mbioni kutoka.

Bila kusahau habari zinazogusa jamii zetu kila siku. Makala mbalimbali za kiafya, kiroho, na kijamii.

Tumejidhatiti kukuhabarisha.

Ambatana nasi kupiti mitandao hii ya kijamii yaani:

FACEBOOK- www.facebook.com/abgtv1

INSTAGRAM- @abgonlinetv

TWITTER - @abgonlinetv

YOUTUBE - abgonlinetv

No comments:

Post a Comment