Tuesday, October 18, 2016

MBEYA:WATU 169 WABATIZWA KWA MAJI MENGI

Na.Godwin Wilson Peter(abg-Onlinetv)

Jumla ya watu 169 mpaka sasa wamebatizwa kwa maji Mengi baada ya kumpokea na kumkiri Yesu kua Bwana na Mwokozi wa Maisha yao,katika mahubiri yanayoendeshwa na idara ya Uchapishaji(SHC) ya Kanisa la waadventista wa Sabato jijini MBEYA.

Mahubiri hayo yanaendeshwa katika jumla ya vituo 30 vilivyopo maeneo mbalimbali ya jiji la Mbeya.

Jumamosi ya Tar 15/10/2016 watu 140 walibatizwa na kufanya kufikia jumla ya watu 169 mpaka sasa katika vituo vyote.



Mahubiri hayo ambayo yalianza rasmi mnamo Tar 03/10/2016 yanatarajiwa kuhitimishwa mnamo Tar 22/10/2016.

Endelea kua nasi kwa habari na Matukio mbalimbali :

Contacts:

abg-Onlinetv

+255659445425,

+255714007330,

+255659570630

Email:abgonlinetv@gmail.com.




No comments:

Post a Comment