Thursday, October 13, 2016

ONICAH PRIMARY &SECONDARY SHULE BORA YA KISABATO.

ONICAH PRIMARY AND SECONDARY:Ni shule za
Kutwa na Bweni kwa jinsia zote, zinazoendeshwa kwa maadili ya kanisa la waadventista wa Sabato, ambazo zinapatika katika kijiji cha Mbalizi -Shigamba jijini MBEYA.Km 2 toka Mbalizi mjini katika barabara iendayo umalila.

-Shule ya Secondary imesajiliwa kwa namba S.1401,na Shule ya Msingi imedajiliwa kwa namba MB.02/7/E.A001

Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia na kufundishia.
-Shule inatoa huduma ya usafiri na chakula kwa wanafunzi wakutwa wasioishi katika jiji la mbeya na Mbalizi

-Masomo ya Kompyuta hufundishwa kwa wanafunzi wote. Ada za Shule ni nafuu kabisa na hulipwa kwa Awamu nne(4) kwa mwaka

-Pia shule ni kituo cha mitihani ya Kitaifa ya kujitegemea ya Baraza la Taifa yaani (QT,Kidato cha 4 na 6)

Mlete mwanao Onicah Primary and Secondary School kwa Elimu Bora ya kiroho na Kidunia.
Mawasiliano:0762610599

Wanafunzi hao,Uwanja wa Ndege Mbeya katika mapokezi .
Wanafunzi wa Onicah katika moja ya Program zao.
Wanafunzi wa Onicah wakiwa katika Paredi maalum
la kumpokea Mwenyekiti wa Union Pr.Mark Malekana



Tangaza nasi
abgonlinetv
Email.abgonlinetv@gmail.com
Phone+255659570630








1 comment:

  1. Nimeipenda sana shule yenu,Na pia kalibuni sana KEP MICROCREDIT Shilika la mikopo liba zetu ni nafuu sana na tunatoka mkopo Kwa siku Moja tu Yani 30 kalibuni sana Kwa maelezo zaidi 0688158290,Kalibuni sana sana.

    ReplyDelete