Idara ya vijana ya kanisa la waadventista wasabato kimanga, jana tarehe 4-9-2016, wameendesha siku maalumu ya maombi na kufunga kanisani hapo huku program mbalimbali za kupendeza kama vile; Masomo ya afya, masomo ya mavazi yampasayo kijana mwadventista kuyavaa, mahubiri yaliyosimamiwa na wachungaji pamoja na wainjilisti, sambamba na maombi ambapo watu walipata fursa ya kutoa ushuhuda jinsi MUNGU wa mbinguni ametenda katika maisha yao
Vikundi na kwaya mbalimbali vilivyopata kuhudhuria katika siku hiyo maalumu ya mfungo na maombi ni kama vile;-
- Ambassadors Yombo SDA
- Ambassadors Temeke SDA
- Kwaya ya vijana mlimani
- Family music
- The heroes TZ
- Gethemani
- Jordan brothers
- Heavenly heritage
- Na wenyeji wao Kwaya ya vijana Kimanga SDA.
#abgonlinetv
+255 659 445 425
+255 659 570 630
+255 714 007 330
Baadhi ya picha za matukio yaliyofanyika
Ilikua poa sanaa
ReplyDeleteMungu awabariki sana kwa kujitoa kwenye mfungo huu
ReplyDelete