Thursday, October 13, 2016

NANGURUWE: INJILI YAENDELEA KUTANGAZWA

Kwaya ya Segerea SDA ikiimba katika mkutano Newala -Nanguruwe


NANGURUWE:Mikutano ya Injili inaendelea kupamba moto katika maeneo mbalimbali ya kusini mwa Tanzania. Ambapo kwaya ya kanisa la waadventista wasabato Segerea ipo katika eneo la NANGURUWE -NEWALA, Kwaajili ya kutangaza neno la Mungu katika maeneo hayo.

Muhutubu katika Mkutano huo ni PR.KINYASHI

Hao ni Miongoni mwa watu waliohudhuria katika mkutano huo.

abgonlinetv
Email:abgonlinetv@gmail.com
Phone:+255659570630

No comments:

Post a Comment