Friday, October 14, 2016

MANGAKA:FAMILIA YA INJILI YAWASILI SALAMA




MANGAKA: Kwaya ya kanisa la waadventista wasabato Yombo ijulikanayo kwa jina la Familia ya Injili, jana imewasili salama katika eneo la Mangaka- Mtwara , Majira ya saa sita usiku kwaajili ya
kuanza rasmi Mkutano wa injili katika eneo hilo la Mangaka kusini mwa Tanzania

-Muhutubu katika mkutano huo ni Mchungaji wa mtaa wa Yombo PR. Samuel Michael.

-Mikutano hiyo ni Mwendelezo wa mikutano mbalimbali ambayo inafanyika katika maeneo ya kusini mwa Tanzania chini ya Jimbo la South Eastern Tanzania Conference(SEC) ,ambapo makanisa mbalimbali yanaendesha mikutano katika maeneo mbalimbali ya Kusini na Pwani ya Tanzania



abgonlinetv
Email.abgonlinetv@gmail.com
+255659570630



No comments:

Post a Comment