Friday, October 14, 2016

MTWARA:RADIO YATANGAZA INJILI



MTWARA:RADIO YATANGAZA INJILI: Katika harakati za kuhakikisha injili inaenea kwa haraka katika eneo la Kusini mwa Tanzania,Kituo cha Radio kiitwàcho INFO FM kilichopo MTWARA MJINI Kimekua kikitumiwa na Idara ya AMR (ADVENTIST MUSLIM RELATION) kufanya Mahubiri mbalimbali ambayo yanafunua kweli ya Neno la MUNGU wa
kweli.

-Mahubiri hayo yanayo dhamimiwa na Conference ya SEC yamekuwa yakisimamiwa na PR. Dominic Mapima ,Ostadh Chisumo na Mwinjilisti Kiangi kutoka Temeke SDA. Mahubiri hayo huanza kuanzia saa 3:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kila siku.

abgonlinetv
Email:abgonlinetv@gmail.com
Phone:+255659570630


No comments:

Post a Comment