![]() |
YONA MABU:Mchungaji Mtaa wa Amani. |
Katika eneo la BUNGU lililopo Mkoa wa PWANI ; Tanzania ,imeshuhudiwa mkutano wa injili ukifunguliwa rasmi katika eneo hilo.
Muhutubu Mkuu katika mkutano huo ni PR:Yona Mabu ambye ni mchungaji wa Mtaa wa Amani.
Uimbaji katika mkutano huo unasimamiwa na kikundi cha JERUSALEM SINGERS kutoka katika kanisa la waadventista wasabato Amani,ambacho kimetoka kufanya shooting ya DVD yao hivi karibuni.
![]() |
JERUSALEM SINGERS |
No comments:
Post a Comment