Wednesday, October 19, 2016

MASASI:MKUTANO WA INJILI WAENDELEA.

Na:Godwin Peter(Abg-Onlinetv)

Mkutano wa Injili unao simamiwa na kanisa la waadventista wa Sabato Dovya unaendelea katika kijiji cha NANGOO kilichopo Masasi kusini mwa Tanzania.

Muhutubu katika mkutano huo ni Mchungaji wa Mtaa wa Dovya ,Mch: JOHN NGULI.

Mkutano huo unatarajiwa kuhitimishwa mnamo Tar 29.10.2016.


Mikutano hii inaendelea sehemu mbalimbali za kusini mwa Tanzania ambayo inasimamiwa na Conference ya Kusini Mashariki mwa Tanzania(SEC).


Endelea kua nasi kwa habari za injili na kijamii abg-Onlinetv 

+255659570630.

+255659445425


No comments:

Post a Comment