Friday, October 21, 2016

MTWARA:EFFORT YA WANATUCASA YAZIDI KUSONGA

Umoja wa wanafunzi wa kiadventista wasabato wanaosoma katika vyuo vya elimu ya Juu katika kanda ya SEC,wamekua wakiendelea na mkutano wa injili katika kijiji cha MBAE kilichopo MTWARA mjini.

Mkutano huo unatarajiwa kuhitimishwa mnamo Tarehe 29/10/2016

Muhutubu wa masomo ya Afya katiak mkutano huon ni Ndg:JOSHUA KANDOGA, ambaye ameambatana na wahutubu wengine katika masomo mbalimbali ya Mafundisho ya Neno la Mungu.

Ndg:Joshua Kandoga (Masomo ya Afya)

Mikutano mbalimbali bado inaendelea katika maeneo ya kusini mwa Tanzania LINDI ,MTWARA NA PWANI. ,ambayo ipo chini ya conference ya SEC.

Endelea kua nasi kwa habari kemkem za injili na jamii ili uweze kujua yanayo jiri kwa wakati

abg-Onlinetv
+255659570630
+255659445425
Email:abgonlinetv@gmail.com




No comments:

Post a Comment