Saturday, October 22, 2016

MANGAKA:INJILI YAZIDI KUTANGAZWA

Mch:Samuel Michael (Mtaa wa Yombo)

Na. ABG-ONLINE TV

Kanisa la waadventista wasabato Yombo linaendelea na Mkutano wa injili unaofanyika katika kijiji cha MANGAKA kilichopo Mtwara kusini mwa Tanzania.


Muhutubu mkuu katika mkutano huo ni Mchhungaji wa Mtaa wa Yombo,Mch.Samuel Michael,akisaidiana na Ramadhan Juma katika masomo ya AMR.

Ramadhani Juma(Muinjilisti AMR)

Pia kwaya ya Familia ya injili imekua ikiendelea na huduma ya kutembelea na kushuhudia katika maeneo mbalimbali ya Mangaka na kuendelea pia kutoa huduma ya nyimbo katika mkutano huo.

Familia ya Injili choir

Mkutano huo unatarajiwa kuhitimishwa mnamo Tar 29/10/2016 katika viwanja hivyo vya Mangaka.


Endelea kua nasi kwa habari nyingi za injili na Kijamii;

 Mawasiliano.

+255659570630

+255659445425





No comments:

Post a Comment