Sunday, October 23, 2016

BUNDA:WATU 38 WABATIZWA KWA MAJI MENGI.

Jumla ya watu 38 wamebatizwa katika EFFORT inayoendeshwa na Idara ya ELIMU , BUNDA mkoani Mara katika Konferensi ya Mara.

Mkurugenzi wa NETCO Pr.LEOPOLD MAO ndiye alihudumu katika huduma ya ubatizo leo Tar 23/10/2016.


Wahutubu katika mkutano huo ni Mwinjilisti AMINIEL CHAHOLA toka Tanga kituo cha Kibara,na Mwinjilisti Emmanuel Allen kituo cha NEGONGO. Dr. MASHAURI MJEMA Masomo ya Afya,PR.MAO na PR.MATIKO  Masomo ya kaya na Familia.

Effort hiyo ambayo inasimamiwa na wakurugenzi wa elimu wote kutoka NTUC bado inaendelea na limebaki juma moja.


abg-OnlineTv
+255659570630
+255659445425

No comments:

Post a Comment