Sunday, October 23, 2016

DAR:POLISI WAIPONGEZA MORNING STAR RADIO


Na.ABG-ONLINETV

Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani limekabidhi Cheti cha kutambua mchango wa Morning Star Radio kwa kushirikiana na jeshi hilo katika kuelimisha jamii masuala ya usalama Barabarani nchini Tanzania kupitia kipindi cha Sema na Jamii cha kila jumatano ambacho huanza saa 3:00 hadi saa 4:00 asb,


Hii ni mara ya tatu kwa Jeshi hilo kutoa cheti kwa Morning Star Radio ambapo mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2009,Mara ya Pili mwaka 2013

Pichani chini ni PC Rashid Hussein akimkabidhi cheti hicho Mtangazaji wa Kipindi cha Sema na Jamii Lavern Masika. 

Chanzo Morning Star Radio.

Edelea kua nasi kwa habari za injili na jamii.

abg-Online Tv
+255659570630
+255659445425

No comments:

Post a Comment