Monday, October 24, 2016

DAR:SABATO YA WATOTO YAFANA


Na.ABG-ONLINE TV

Sabato Maalum ya watoto iliyofanyika Jumamosi ya Tar 22/10/2016 katika kanisa la waadventista wa sabato UBUNGO HILL ilikua ni sabato iliyofanyika kwa namna ya pekee sana, ambapo watoto kutoka makanisa mbalimbali walijumuika pamoja na watoto wenzao wa kanisa la Ubungo hill SDA.


Katika Sabato hiyo maalum watoto walihudumu katika sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Uimbaji



Kwaya za watoto zilizo hudumu siku hiyo ni ,Kwaya ya watoto Kitunda kati,Mbagala,Mwenge,Kibada na wenyeji kwaya ya watoto Ubungo Hill SDA.

ABG-OnlineTv kwa habari za Injili na Jamii.

MAWASILIANO.

abg-OnlineTv

+255659445425

+255659570630

No comments:

Post a Comment