Friday, July 29, 2016

LAMADI: WATU 86 WAMPOKEA YESU KWA NJIA YA UBATIZO WA MAJI MENGI

Na Amos Daniel (abgonline tv)

Jumla ya watu 86 wamebatizwa baada ya kumkiri Kristo kama BWANA na mwokozi wao katika kanisa la waadventista wasabato MAJENGO lililopo Lamadi mkoa mpya wa Simiyu ikiwa ni mfulululizo wa makambi ya waadventista wasabato Tanzania.

abgonlinetv@gmail.com
+255 659 445 425
+255 659 570 630
+255 714 007 330




No comments:

Post a Comment