Friday, July 29, 2016

DAR ES SALAAM: SAVE THE CHILDREN SAVE THE FUTURE


Na Amos Daniel (abgonline tv)


Shirika la NEW HOPE NEW WINNERS FOUNDATION FOR CHILDREN AND YOUTHS Lenye Ofisi Zake Mawasiliano Limemeandaa Mpango Wa Kuisaidia Jamii Hasa Watoto Wanaoishi Mazingira Magumu.

Hivyo Limeandaa program inayoitwa "save the children save the future" ambayo itahusisha kutoa michango na mahitaji mbalimbali katika shule Ya Msingi LIWITI iliyoko tabata segerea kama mpango wa kuwakomboa watoto waishio mazingira Magumu wapatao 50 na kuwasaidia na pia mpango wa kusaidia malengo endelevu ya umoja wa mataifa katika elimu na umasikini.

Siku ya kwenda katika shule hiyo ni mwishoni mwa wiki ya pili ya mwezi wa nane tarehe 13/8/2016.

Hivyo shiriki katika program hii kwa kutoa chochote ulichonacho, pesa taslimu kuanzia Tsh 1000, Daftari,penseli, uniforms, Kalamu, Nets Na Utakachobarikiwa.

Toa Mchango Wako Kupitia Namba Hizi,

 +255 765 166 995 SENGIYUMVA KACHENKE (MKT MANAGER NHNWF).
Pia,
+255 717 592 294
Scholastica Pembe.

Michango ya aina yoyote inapokelewa na pia shirika litatoa vyeti kwa watakaotoa mchango wa kuanzia Tsh 10,000 na kuendelea.

Kwa watakaokuwa na muda siku ya kwenda usafiri utakuwepo kutokea mawasiliano ofisi zilipo.

Michango Kuanzia 1000 Inapokelewa na kuanzia 10,000 watapewa vyeti.

Website ya shirika:
www.winnershopefoundation.org. 

Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi Kwa Namba Zifutazo.
+255 765 166 995
+255 717 592 294

Contribute To The Society And Be A Part Of Change.


abgonlinetv@gmail.com
+255 659 570 630
+255 659 445 425
+255 717 007 330






Help us to inspire people and make a difference

No comments:

Post a Comment