ABG online TV inakukusanyia taarifa mbali mbali za kidini na kijamii na kufikisha katika jamii kupitia mtandao wa intanet.
Lengo kuu ni kufikisha habari njema ya Ufalme wa Mungu kwa watu wote kupitia vipindi mbalimbali na makala zitakazo wagusa watu katika nyanja zote, hususani kijamii na Kiroho.
tunapatikana Facebook, Youtube, Google, Blogspot na Instagram.
Wednesday, February 1, 2017
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016/2017
Baraza la mitihani NECTA limetangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne tarehe 31-1-2017,
bofya hapa kupata matokeo #http://tanzania.go.tz/result_csee_2016/CSEE_2016/index.htm
No comments:
Post a Comment