Pichani ni matukio mbalimbali:
ABG online TV inakukusanyia taarifa mbali mbali za kidini na kijamii na kufikisha katika jamii kupitia mtandao wa intanet. Lengo kuu ni kufikisha habari njema ya Ufalme wa Mungu kwa watu wote kupitia vipindi mbalimbali na makala zitakazo wagusa watu katika nyanja zote, hususani kijamii na Kiroho. tunapatikana Facebook, Youtube, Google, Blogspot na Instagram.
Tuesday, January 3, 2017
PICHA:MATUKIO MBALIMBALI NIGHT CAMP YOMBO SDA
Kambi la Usiku (Night Camp) lililo simamiwa na idara ya vijana Yombo SDA church lilifana sana ambapo wakufunzi mbalimbali walikuwepo kama vilie Pr. Kirya kutoka Bugema university UGANDA na PR Samuel Michael kutoka YOMBO SDA wakitoa mafundisho mbalimbali yaliyo wajenga vijana kiroho na kimwili.
Pichani ni matukio mbalimbali:
Pichani ni matukio mbalimbali:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment