Saturday, December 31, 2016

HAPPY NEW YEAR SEMA ASANTE

Leo katika Kanisa La Waadventista Wasabato Magomeni leo kumekuwa na sabato ya pekee ya kumshukuru Mungu kwa ulinzi ambao amewapatia kwa mwaka mzima.
Pamoja na hayo wamekuwa na siku pekee ya uimbaji pamoja na meza ya bwana.
program za uimbaji zimeaanza saa tisa mchana na kuendelea mpaka saa tatu usiku waimbaji mbalimbali wameliakwa
LIGHT BEARERS
VOCAPELLA 
MAGOMENI SDA
WABEBA NURU
ECHOS OF CALVARY
pamoja na wengine wengi.







No comments:

Post a Comment