ABG online TV inakukusanyia taarifa mbali mbali za kidini na kijamii na kufikisha katika jamii kupitia mtandao wa intanet.
Lengo kuu ni kufikisha habari njema ya Ufalme wa Mungu kwa watu wote kupitia vipindi mbalimbali na makala zitakazo wagusa watu katika nyanja zote, hususani kijamii na Kiroho.
tunapatikana Facebook, Youtube, Google, Blogspot na Instagram.
Friday, July 22, 2016
Miguuni Pa Yesu Singer Waachia Wimbo mpya
Sikiliza na download Wimbo mpya kabisa toka kwao Miguuni pa Yesu Singers, wakiongozwa na Mwl Allan Julius. Wanapatikana Kanisa la KKKT Ubungo.
No comments:
Post a Comment