ABG online TV inakukusanyia taarifa mbali mbali za kidini na kijamii na kufikisha katika jamii kupitia mtandao wa intanet.
Lengo kuu ni kufikisha habari njema ya Ufalme wa Mungu kwa watu wote kupitia vipindi mbalimbali na makala zitakazo wagusa watu katika nyanja zote, hususani kijamii na Kiroho.
tunapatikana Facebook, Youtube, Google, Blogspot na Instagram.
Sunday, July 10, 2016
KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YA MAALBINO.
WAIMBAJI SAMUEL MHAZINI NA BARRETT MAPUNDA NAO NI SEHEMU YA WAIMBAJI WALIOSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA LEO
MARTHA MWAIPAJI MWIMBAJI ANAYEMVUTIA ZAIDI KLEIN MNIBI
No comments:
Post a Comment