ABG online TV inakukusanyia taarifa mbali mbali za kidini na kijamii na kufikisha katika jamii kupitia mtandao wa intanet.
Lengo kuu ni kufikisha habari njema ya Ufalme wa Mungu kwa watu wote kupitia vipindi mbalimbali na makala zitakazo wagusa watu katika nyanja zote, hususani kijamii na Kiroho.
tunapatikana Facebook, Youtube, Google, Blogspot na Instagram.
Sunday, July 10, 2016
HABARI PICHA, KATIKA UZINDUZI WA ALBUM IITWAYO MAALBINO NA MWIMBAJI KLEIN MNIBY.
MOJA WA WAGENI WALIOALIKWA TOKA CHAMA CHA MAALBINO
SEHEMU YA WALIOHUDHURIA KWENYE UZINDUZI WA ALBUM YA MWIMBAJI KLEIN MNIBY HAPA UKUMBI WA UTAMADUNI WA URUSI.
No comments:
Post a Comment