Monday, July 25, 2016

WAFUNGWA NAO WAMPOKEA YESU

Chanzo Daniel Ombui-Facebook






Huko Kisii Kenya Jumla ya wafungwa 70 kutoka Gereza la Kisii wamempokea Yesu na Kubatizwa. Hali kadhalika  katika Shule Ya Sekondari Ya Kisii (Kisii High School) Pia kumebatizwa wanafunzi takribani 70. NI jambo la Kumtukuza Mungu kwa watu wake waliooamua kumkiri na kumkubali kuwa Bwana wa maisha yao. "Kuna Furaha Mbinguni kwa Mwenye dhambi mmoja anapotubu".






Kwa Mujibu wa Sheria za Magereza nchini Kenya Wafungwa hawakuruhusiwa kupigwa picha wakibatizwa.

No comments:

Post a Comment