Friday, July 8, 2016

Sabato Njema



Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Sabato Njema, Wana na Binti wa Mungu, Ni muujiza wa pekee wa Mungu kuendelea kushikilia uhai wetu kufikia siku ya Saba ya Juma.
Wapo wenzetu wengine wamelala mahospitalini wakiugua, wako waliolala usingizi wa mauti......
Liko jambo ambalo Mungu anataka kulifanya Juu maisha yako na lipo pia Jambo ambalo Mungu anataka ulifanye nido maana uko hai leo......!


Kutoka 20:11


"Maana kwa siku sita, BWANA alifanya Mbingu, na Nchi, na Bahari, na vyote vilivyomo,Akastarehe siku ya saba; 

Kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya SABATO akaitakasa."

No comments:

Post a Comment